1 Samuel 3:21

21 a Bwana akaendelea kutokea huko Shilo, na huko kujidhihirisha kwa Samweli kwa njia ya neno lake.
Copyright information for SwhKC